kenyas funniest 😂😂😂

Vichekesho Reloaded

Unakuta Dame Club (Githurai) anakubamba. Unamshikia drinks kidogo kidogo anakuekea mchele. Ukibleki anaingia mfuko yako anapata simu Ni yake

Una bet na pesa za sukuma juu unajua possible win ni nyama kilo moja... Then una end up kukula ugali na chumvi. 😂😂😂😂

Brag with the sheesha smoke from your mouth and nose on INSTAGRAM... Later in life uanze kuchangisha pesa za Kwenda treatment India 😡


...........Wale wasee walikuwa wanaendeanga mwalimu akuje afunze, sikuizi wanaendeanga landlord akujie rent?😱🙊 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃


Ati Bob Collymore amepata bibi wa kumpikia aache kukula bundles.... 😂😂😂😂😂😂😂😂 I out 🏃🏃🏃🏃🏃🏃



TEACHER: Why do women live a Better, Longer & Peaceful Life, as compared to men? STUDENT: Because Women don't have a wife. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

LANDLORD AKIKUONA KWA LINE YA BANK, END MONTH. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂


Pale Bedsitter umedoz kidogo kidogo unaskia kitu baridi ndani ya blanket. Kuangalia ni nini, Unapata ni kitu ya kuosha vyombo 😂😂😂 Saitan!🏃🏃


Ku date demu ako na mtoi sometimes huwa very tricky. Unaeza kuwa ume'relax base na maboyz. Kidogo kidogo unaambiwa uendee mtoi shule. 😞😞😞


Kama ni wewe ulipoteza 50K Jana usiku, around tao. Zikiwa zimefungwa na Bladaa. Please ni inbox Tujue venye tutapatana nikupe Blada yako!😂😂😂


Unapea Dem pesa ya salon, halafu unampiga ngeta hio pesa, kisha unampea tena ndio aone pesa sio shida kwako. 🙌🙌🙌🙌

Alafu hii maneno ya kuissue travel advisory ilianza tukiwa watoi. Ulikuwa unaskia mamako amesema "nisiwai kuona kwa Mama Nani, watakuharibu"

Unapeleka lightskin ocha, kidogo kidogo anaona moshi ya kuni ikitoka kitchen anaanza zile za "aaw! huny haukuniambia kuna shisha kwa shushu"



No comments:

Post a Comment

Monetize your blog today